ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 22, 2017

VIDEO:- MAZISHI YA SHABIKI WA SOKA ALLY YANGA NYUMBANI KWAO SHINYANGA

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa shabiki  kindakindaki wa Dar es salaam Yanga Africans  Ally Said almaarufu Ally Yanga umezikwa hii leo  mkoani Shinyanga kwenye makaburi ya Kiislamu ya Nguzo Nane mkoani hapa.

Mamia ya mashabiki wa soka wa ndani na nje ya nchi wamehudhuria ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwao na marehemu maeneo ya mitaa ya   Stendi kuu ya zamani ambako majonzi na vilio vilisikika hii ikimaanisha Ally Yanga alikuwa kipenzi cha watu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.