ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 19, 2017

TAZAMA MAZISHI YA MKE WA MZEE YUSUF NA KAULI YAKE MAKABURINI.Mke wa mzee Yusuf, Marehemu Chiku Hamisi, hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, shughuli ambayo imehudhuriwa na mamia ya waombolezaji.

Chiku alifariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya Amana wakati akijifungua ambapo kichanga kilichokuwa tumboni mwake nacho kilifariki.

Chiku alipoteza maisha akisaidiwa na wauguzi kujifungua kwa njia ya upasuaji ambapo mwanaye aliyekuwa tumboni alifariki pia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.