ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 13, 2017

RAIS JPM AWAAGIZA WAKUU WA MIKOA KUTEKELEZA UJENZI WA VIWANDA.

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa kote nchini kusimamia kwa ukaribu mpango wa utekelezaji wa ujenzi wa viwanda

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 13, 2017


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.