ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 23, 2017

MAMA AMUUA MTOTO WAKE.

Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Nyamiji Bahati makazi wa kisiwa cha Nyamanga wilayani Sengerema mwenye umri wa miaka 27 kabila msukuma, amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya sengerema kwa kosa la kumuuwa mototo wake mwenye umri wa miaka 7.

 Akisoma shtaka hilo mbele ya hakimu makazi bi Subira Mashimbo mwendesha mashtaka Silvester Mwaiseje amesema mtuhumiwa ametenda kosa hilo mnamo tarehe 13/6/2017 majira ya saa saba mchana maeneo ya kisiwa cha Nyamango kilichopo wilayani Sengerema kinyume cha sheria namba 196 na kanuni za sheria kifungu namba 16 na mshtakiwa amerudishwa rumande hadi tarehe 12/7/2017 kesi itakapotajwa mahakamani hapo. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.