ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 4, 2017

KAULI 4 ZA MAMA SAMIA AKIWA BUTIAMA MCHANA WA LEO.1."Sasa kuna magonjwa mengi yanayotokana na kunywa maji machafu kutokana na uharibifu mkubwa wa mazingira"

2."Tukiyaharibu mazingira, mazingira yatatuharibu kama yanavyotuharibu sasa na adhabu yake haisimami.

3."Tuna Kazi Kubwa ya kuhakikisha kuwa mabonde yanarudisha mifumo yake ya ikolojia ili iweze kuwa na maji kama awali"

4."Sisi kama wasimamizi wamazingira nchini tutajitahidi kuona elimu ya mazingira inatosha"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.