ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 30, 2017

FERRE GOLA ALIVYOKONGA MASHABIKI WA MUZIKI WA DANSI SHOW YAKE YA KWANZA DAR

 WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akicheza sebene na muongoza shughuli 'Mc' Mussa , wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)
 RAPA Mwanamke Ruth Nzele, wa mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Congo, Ferre Gola, akirap wakati bendi yake ikitoa burudani katika onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)
 WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akipiga makofi kumshangilia mnenguaji wa Ferre Gola,  Ilunga Mulumba, wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Mnenguaji wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Ilunga Mulumba, akipagawisha mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Mnenguaji wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Biffalo Yamado, akipagawisha mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)

 Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Djany Pacha, akiwa hewani baada ya kubinjuka sarakasi wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia jana Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)
 WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, kwa kutambua mchango kufanikisha onyesho la mwanamuziki Ferre Gola, la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia jana Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. Kulia ni Balozi wa Congo nchini Tanzania,Jean-Pierre Mutamba (kushoto) ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, na mratibu wa onyesho hilo, Teddy Mapunda. (Picha na Muhidin
 MWANAMUKI wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. (Picha na Muhidin Sufiani)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.