ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 23, 2017

VIDEO:- AJICHOMA KISU, KISA KWA UGOMVI WA MAPENZI.

Katika hali isiyo ya kawaida binti mmoja jijini Mwanza amejichoma kisu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake.

Binti huyo anayejulikana kwa jina la MERRY KIGORO amechukua hatua hiyo kataika mtaa wa uhuru baada ya aliyekuwa mpenzi wake kukataa kurudiana naye.

Mapenzi niu hivi ndivyo kuwa kwa binti huyu katika mtaa wa uhuru jijini Mwanza ambaye alijaribu kutoa uhai kwa sababu ya mapenzi  ama kweli kweli mapenzi  yanaua. 


Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walieleza jinsi walivyoshuhudia tukio hili wakaeleze kile walichokiona.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.