ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 5, 2017

PICHA ZA MECHI YA SINGIDA UTD VS AFC LEOPARDS

 Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (kushoto) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani
 Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kulia) wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni  Marcus Abwao. Picha na Muhidin Sufiani

 Wachezaji wa AFC Leopards, wapigwa na butwaa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza.
 Mchezaji wa Singida United, Mtasa Wisdom, akiruka kuokoa katikati ya wachezaji wa AFC Leopards.
 Hatari langoni mwa AFC Leopards

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.