ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 21, 2017

YANGA WATANGAZIA UBINGWA MWANZA IKILEGEA KWA MBAO FC.

Licha ya Mbao Fc kupata ushindi, timu ya Yanga imetawazwa kuwa Mabingwa wa Vodacom Premier League, baada ya mchezo mahasimu wake Simba kushindwa kupata ushindi wa mabao 12-0 dhidi ya Mwadui Fcuwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Hadi mwisho Mbao fc 1-0 Yanga mchezo ukichezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
 Timu zikingia uwanjani.
Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga.
 Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mbao Fc.
 Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mbao Fc.
 Timu ya soka ya Mbao Fc (pichani) yenye maskani yake mitaa ya Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza kwa mara nyingine imepeleka kilio mitaa ya Jangwani Jijini Dar es salaam baada ya kuitungua bao 1-0 timu ya Yanga kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2016/17, kupitia kwa mchezaji wake Habib Haji dk 25 kipindi cha kwanza.
 Kikosi cha Yanga
 Salam salaam.














 Kikombe cha mshindi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017



 Hata hivyo licha ya ushindi huo wa Mbao Fc, timu ya Yanga imetangazwa bingwa wa ligi hiyo, baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.