Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi
Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza
kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
TAKUKURU PWANI YAONGEZA MAPATO MACHINJIO MTAKUJA
-
Na Khadija Kalili,Michuzi TV
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kibaha Mkoa wa
Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa...
TAKUKURU PWANI YAONGEZA MAPATO MACHINJIO MTAKUJA
-
Na Khadija Kalili,Michuzi TV
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kibaha Mkoa wa
Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji...
TAKUKURU PWANI YAONGEZA MAPATO MACHINJIO MTAKUJA
-
Na Khadija Kalili,Michuzi TV
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kibaha Mkoa wa
Pwani imefanya uchambuzi wa mfumo wa ukusanyaji wa...
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.