ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 1, 2017

MAANDAMANO YA MAADHIMISHO YA MEI MOSI MWANZA ASUBUHI YA LEO

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Ki-serikali mkoa wa Mwanza asubuhi ya leo wamefanya maandamano kutoka Uwanja wa Michezo Nyamagana hadi kwenye kusanyiko kuu uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni sehemu ya sherehe ya sikukuu za wafanyakazi duniani ambazo kitaifa zinafanyika mkoani Kilimanjaro.
.
Mabango mbalimbali yamesoka yakiwa yameshikwa na kiini cha Kauli mbiu ya mwaka huu 'Uchumi wa Viwanda Uzingatie kulinda haki, heshima na Maslahi ya Wafanyakazi'

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.