ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 25, 2017

HIVI NDIVYO WALIVYOPOKELEWA SERENGETI BOYS.


SERENGETI BOYS YAPOKELEWA NA WAZIRI MWAKYEMBE
Na Abog. JEMBE FM
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 imetua leo nchini baada ya kuondolewa kwenye michuano ya AFCON U17 nchini Gabon na kupokelewa na waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam.

Msafara wa timu hiyo ulikuwa chini ya mjumbe wa kamati ya Utendaji ya TFF Ayoub Nyenzi pamoja na benchi lote la ufundi likiongozwa na kocha mkuu Bakari Shime maarufu Mchawi Mweusi.

Gsengo Blog ilifika uwanjani hapo na kukukusanyia picha za matukio yote katika mapokezi hayo kama zinavyoonekana hapo chini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.