ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 28, 2017

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AMWONDOA MKUU WA JESHI LAPOLISI (IGP)


JPM akiwa na Sirro.
Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP).
JPM akiwa na Mangu.
Taarifa iliyotolewa na Ikumu muda mfupi uliopita inasema aliyekuwa IGP, Ernest Mangu, atapangiwa kazi nyingine.

Taarifa iliyotolewa na katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, inaeleza kuwa Sirro ataapishwa kesho Jumatatu ya Mei 29, 2017 saa 3.00 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.