ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 2, 2017

YANGA SC 1 VS 0 AZAM FC GOLI LA AUBREY CHIRWA LAIPELEKA YANGA KILELENI KWA SAA 24.


 Yanga Sports Club imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Goli maridadi lilifungwa na Aubrey Chirwa katika dakika ya70. Ushindi huo unaipeleka Yanga Kileleni kwa muda huku ikisubiri matokeo ya Simba dhidi ya Kagera Sukari.


 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.