ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 20, 2017

VIDEO: JINSI JUVENTUS ILIVYO IONESHA BARCELONA MLANGO WA KUTOKEAJuventus ambao mara ya mwisho walishinda Champions League mwaka 1996 wame watupa Barcelona nje ya Champions League. Barcelona wameshindwa kuushangaza tena ulimwengu wa soka kama walivyofanya katika hatua ya 16 bora pale walipoipiga Paris St-Germain bao 6-1 ingawa PSG ilikuwa na bao nne kibindoni.

DANNY ALVES AIBUSU LOGO YA BARCELONA MCHEZO WA KWANZA KURUDI NYUMBANI.
 

Sasa Juventus wanaungana na Real Madrid, Atletico Madrid na Monaco katika droo itakayotangazwa kesho.
 DANNY ALVES APATA KIBARUA KIZITO MUMTULIZA NEIMAR ASILIE.

Monaco nayo imeingia hatua ya nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2004 baada ya jana kuwabamiza Borussia Dortmund bao tatu kwa moja

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.