ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 30, 2017

VIDEO:- JINSI ANTHON JOSHUA ALIVYOMFUMUA WLADIMIR KLITSCHKO - Full Match Fight 29/04/2017Bondia wa Uingereza Anthony Joshua amemwangusha Wladimir Klitschko wa Ukraine na kutawazwa bingwa wa dunia kitengo cha uzani mzito.

Mashabiki wa ndondi walishuhudia pigano la kukata na shoka ambapo, Joshua alimwangusha Wladimir katika raundi ya tano, na kwa mara ya kwanza katika taaluma yake, Joshua akaangushwa katika raundi ya 6

Joshua alinusa ushindi, baada ya kupata upenyu na kurusha ngumi ya kushtukiza ya mtunguo, iliyompa nafasi ya kumwangusha wladamir kwa msururu wa ngumi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.