ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 17, 2017

SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR

 Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka jana.

 Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo jana.
 Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka

 Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo



 Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika.
 Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika
 Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo


 Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo
 Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka.
 Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika



 Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

 Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na  familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.