ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 9, 2017

SAUTI:- WASEMAVYO MASHABIKI WA MBAO FC KUELEKEA MCHEZO WAO DHIDI YA SIMBA SC UWANJA WA CCM KIRUMBA.

 Vidole vinne toka kwa wacheaji wa Mbao Fc Jeh!.. Vinaashiria nini? 
Inavyosemekana ghafla timu hii imepangishiwa hoteli ya kiyoyozi..........
Simba iliyoweka kambi yake mkoani Geita ikitokea Bukoba, ambako Jumapili ilichapwa 2-1 na wenyeji Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba, tayari imetinga mjini Mwanza kujiandaa na mchezo huo ambapo leo jioni imefanya mazoezi katika dimba la CCM Kirumba.
  Jembe Fm leo imepata fursa ya kutembea kitaani na hapa imekutana na mashabiki wa soka nao wakitimbwilika kuhusu mchezo huo ambao ghafla umegeuka kuwa gumzo kutokana na maslahi ya timu nyingine kuzingatiwa hivyo kutolewa macho. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Nani kuibuka kifua mbele?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.