ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 23, 2017

SASA NI SIMBA SC Vs AZAM FC NA MBAO FC Vs YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO HATUA YA NUSU FAINALI


Droo ya Kombe la Shirikisho imekamilika na sasa Simba na Azam FC zitakutana katika nusu fainali ya kwanza.


Mbao FC watakuwa wenyeji wa Yanga katika nusu fainali ya pili.


Nusu fainali ya kwanza itakayowakutanisha Simba na Azam FC itachezwa Aprili 29 na ile ya pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza itachezwa Aprili 30.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.