ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 17, 2017

PICHA: SAMATTA NA MTUPIO WA KI-YANGA YANGA ULAYA

Mchezaji Samatta akiwa amevalia uzi wa Yanga ambao ni zawadi aliyopewa na mchezaji wa klabu hiyo, Simon Happygod Msuva.⁠⁠⁠⁠

Machi 30, mwaka huu pia Mbwana samatta alimzawadia Msuva jezi yake ya Klabu ya Genk, ambapo Msuva alionekana ameivaa na kuandika ujumbe huu..."#Hellow my Brother @samagoal77 I appreciate Thanks for the Gift #Popa77"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.