ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 11, 2017

MMOJA AFARIKI WILAYANI SENGEREMA KWA AJALI YA MOTO NA WENGINE WATATU KUKIMBIZWA HOSPITALI.

 Bi Prisca kostantiny, ni moja wa majeruhi  walionusulika katika ajali hiyo amesema kuwa, baada ya kushtuka usingizini ndipo alipo   chungulia dirishani na kuona moto na kuaza kupiga kelele ili kuomba msaada.
 Baada  Jembe fm radio  93.7 kufika katika eneo la tukio, na kukumbana na nyuso na sauti za majonzi na juhudi za kumpata bwana Selemani  Shitenge mwenyekiti wa mtaa wa isamiro kuzaa matunda na hapa anaelezea ajali hiyo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA

Mali zimeharibika na thamani yake haijajulikana.
Makazi haya yameharibika kwa kiwango kikubwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.