ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 4, 2017

KAMA UKO MWANZA HII INAKUHUSU.

HABARI za leo wajasiriamali wenzangu ! Kwa heshima na tadhima nawakumbusha kuwa leo tarehe 2 April tunayaanza maonyesho ya bidhaa za kilimo na ufugaji yatakayoenda sambamba na Uzinduzi wa kampuni ya kilimo na ufugaji ya Kechu Agro Supplies . 

Maonyesho yataanza leo saa 4 asubhi mpk saa 12 jioni katika viwanja vya Kishimba Beach iliyoko Capripoint opposite na Ikulu au karibu na hotel ya Rocky beach Hakuna kiingilio.

Pia kutakuwa na maonyesho ya bidhaa zingine toka kwa wajasiriamali Mnakaribishwa sanaa Asanteni Njoo upate chakula cha ubongo kwa kujifunza wengine wamefanyaje

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.