ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 22, 2017

VYOMBO VYOTE VYA HABARI VIMEKUBALIANA KUTOANDIKA HABARI ZINAZO MUHUSU MAKONDA.


Jukwaa la Wahariri Tanzania leo limetangaza rasmi uamuzi utakaotekelezwa mara moja na Vyombo vyote vya Habari wa kutofanya kazi na RC Makonda, ambapo uamuzi huo umeenda sambamba na kauli ya kwamba atakaye shirikiana naye atajumuishwa kama adui wa Uhuru wa Habari nchini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.