ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 27, 2017

UMOJA WA ASKARI WA KIKE MKOANI MWANZA WATOA MSAADA HOSPITALI YA MKOA.

NA ZEPHANIA MANDIA,
Umoja wa Askari polisi wa kike, kikosi cha zimamoto, uhamiaji pamoja na magereza wame watembelea wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mwanza sekoutoure kwa lengo la kuwafariji na kuwapa mkono wa pole.


Ni askari wa kike kutoka vikosi mbalimbali wakiwemo magereza, zimamoto na askari polisi pamoja na uhamiaji wamejumuika kwa pamoja kwenda katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure kwa lengo la kuwafariji wagonjwa na kuwapa mkono wa pole wagonjwa hao.


Zarau Mpangule ni afisa mnadhimu wa jeshi la Polisi ambae ameambatana na askari wengine hospitalini hapo na kutembelea wodi ya wazazi hapa wanaeleza kilicho wasukuma kwenda kuwaona wagonjwa. 


Nyanjige Maginga ni Afisa muuguzi wodi ya wazazi hapa anaeleza ujio huo wa askari hospitalini hapo.


Hawani baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambao wametembelewa na askari hao. kutoka magereza, zimamoto pamoja na uhamiaji wamewapa wagojwa hao sabuni juice na mafuta kwa kila mgonjwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.