ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 12, 2017

RAMBIRAMBI ZA JPM KWA FAMILIA YA GEORGE KAHAMA.

Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama, enzi za uhai wake alipata fursa ya kuainisha historia ya maisha ya utumishi serikalini kupitia kitabu na mwandishi wa kitabu hicho ni Bwana Joseph Kahama ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Royalty .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.