ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 29, 2017

MAKONDA ATINGA DODOMA KUHOJIWA NA BUNGE.





 MAKONDA AANZA KUHOJIWA NA BUNGE DODOMA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumanne hii ameanza kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge. 

Kwa mujibu wa maelezo kwenye akaunti maalum ya Facebook ya bunge hilo, wito wa kufika mbele ya kamati hiyo umefikiwa kufuatia azimio la Bunge kumuomba Mhe Spika kuwaita mbele ya kamati wakuu wa wilaya na mikoa waliotoa matamshi ya kudharau mamlaka ya Bunge.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.