ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, March 16, 2017

MAKONDA ASEMA "HAKUNA WA KUNINYAMAZISHA", SIASA YAIPONZA TLS, MAGUFULI ANATUTISHA.


Padri katoliki atiwa mbaroni kisa kiroba, Vita dawa za kulevya kuongezewa kasi, Lissu na Wasonga nusura wazichape mahakamani.
 
JPM aanza magaeuzi sekta ya elimu, Makonda ajitetea kuhusu Gwajima na Wema Sepetu, Dkt. Magufuli alivyohamisha mageuzi serikalini hadi CCM. Pata kwa undani yaliyojiri katika magazeti ya leo hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.