ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 15, 2017

KESI YA WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA HADI April 11

KESI ya dawa za kulevya inayomkabili malkia wa filamu, Wema Sepetu yaahirishwa hadi April 11 baada ya upande wa mashtaka kusema kortini Kisutu upelelezi haujakamilika.
Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.

Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.