ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 29, 2017

JOH MAKINI, BEN PAUL NA JUX KUDONDOKA MWANZA MKESHA WA PASAKA.

Amshaaaaaaaa...!! kama kibogoyo kapewa jOJo vile. ila this time Tuna amshaaaaa na JEMBE EASTER VIBES 15/04/2017 ndani ya jembe beach resort kwa buku 10,000/= eneo la tukio JEMBE BEACH Resort Malimbe Mwanza kwa stage atasimama JuX, JoH mAKiNi na Ben PoL huku #JembeDjZ kukisanukisha kama kawize.

Hii siyo time ya kulala tena ni ku #amshaaaa tu!! CC:- @jembenijembe @johmakinitz @iambenpol @Juma_JuX @gsengo @djmike_beatz_ @deejay_jacko @deejaykflip @nattyebrandy @bonzbalaa

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.