ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, March 30, 2017

DC DANIEL CHONGOLO AONGOZA OPARESHENI YA KUTEKETEZA MASHAMBA YA BANGI EKARI 5 WILAYANI LONGIDO



Sehemu ya Bangi ikichomwa moto,kuhakikisha haichuliwi tena kwa matumizi mengine ya ulevi.

Mkuu wa wilaya ya Longido,Godfrey Daniel Chongolo akijiandaa kuanza kuongoza oparesheni ya kuteketeza dawa za kulevya aina ya Bangi akishirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama katika kata ya Lang'atadabash wilayani humo. Jumla ya mashamba yenye ukubwa wa ekari 5 yaliyokuwa yamelimwa bangi yameteketezwa.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya pamoja na DC wa wilaya ya Longido,Mh Daniel Chongol ( pichani kulia) wakiendelea na oparesheni ya kuteketeza dawa za kulevya aina ya bangi katika kata ya Lang'atadabash wilayani humo mkoani Arusha

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.