Ndg Elirehema Moses Kaaya akijaza fomu kugombea nafasi ya Bunge la Afrika Mashariki.
Kabla ya kukabidhi fomu za ubunge kwa Katibu msaidizi Ndugu SHALUA ofisini kwake,
Ndg ELIREHEMA MOSES KAAYA akionesha ujazaji makini wa fomu yake.
Ndg ELIREHEMA MOSES KAAYA akionesha ujazaji makini wa fomu yake.
Ndg
ELIREHEMA MOSES KAAYA, Afisa Uhusiano jiji la Mwanza (kulia) akirudisha fomu
ya ubunge wa Africa mashariki makao makuu ya CCM DODOMA Tarehe
23/03/2017.
Ndg ELIREHEMA MOSES KAAYA nje ya mjengo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.