ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 8, 2017

YALIYOJIRI BUNGENI LEO FEBRUARY 8, 2017

Mhe. Anthony Mavunde aelezea mikakati ya serikali juu ya ulipaji wa pensheni kwa wastaafu nchini kulingana na hali ya uchumi. 

Mbunge wa Bukoba mjini Mhe. Rwakatare ahoji juu ya usalama wa wananchi waishio katika kingo za ziwa Viktoria zinazokubwa na mmomonyoko. 

Haya hapa majibu ya serikali juu ya mpango wa kuhakikisha chuo cha utafiti wa kilimo kinapanuliwa ili kuweza kufanya tafiti za magonjwa yote ya korosho; https://youtu.be/7mrpTCu39gY

Mhe. Magret Sitta acharukia serikali juu ya utatuzi wa suala la wanafunzi wanaopata mimba za utotoni kuendelea na masomo; https://youtu.be/AHidcYBl_TM

Huu hapa mpango wa serikali katika kuhakikisha waathirika wa vita ya Maji Maji wanapata fidia ikiwa Tanzania ni moja ya nchi zilizoathirika na utawala wa kikoloni; 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.