ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 25, 2017

YAMOTO BAND KUFANYA TOUR YA MZIKI NDANI YA MATAIFA 6 ULAYA.


Yamoto Band imeweka wazi ratiba ya tour yake ya kimatifa ambayo inatarajia kuanza Junuary 27 mwaka huu huko nchini Sweeden.


Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa bendi hiyo Mkubwa Fella, bendi hiyo itafanya show katika mataifa 6 ya Ulaya.

Wadau kituo chetu cha Mkubwa na Wanawe tunapenda kuwajulisha vijana wetu wa ya Moto Band kesho vijana wetu wanaanza ile tour ya bara la ulaya wataanza-SWEDEN-Stockholm are you ready. we Will be performing live on the 27 January in En Arena Globen Dont missssss!!! For tickets Contact Clay Onyango NOW!!!!.

“FINLAND-TAMPERE- we will be performing for the first time in Finland,on Saturday 28.1 at Klubi buy your advance tickets from Tiketti or at Klubi ama muone Mzee wa Finland Menard Mponda -ITALY-Rome-we will be performing at BUFFALO CLUB CASTLE VANTULO tickets check with OneLove Music Sound Djpred Pro Oslo ,it is going to be fire just like Yamoto band-NORWAY, get ready we are on your way,so stay tuned-FrankfurtGERMANY – we will have an amazing concert on Sat 25.February,venue address Friesstrasse 20. contact Anna Mpenzi & Mapapa Jr for more info
-ZURICH…..BONGO-SWISS INTERTAINMENT. Wanakuletea Yamoto band in Switzerland. Venue: Wegacker Street 42,
8041 Leimbach-Zurich. 
Saturday, 
Tarehe 04.02.17 Entrance: 
35 SWISS FRANKS ONLY.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.