ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, January 26, 2017

RAIS WA MEXICO AFUTA ZIARA YAKE MAREKANI.

Rais Enrique Pena Nieto wa Mexico kushoto na mwenzake wa Marekani Donald Trump kulia.

Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amefuta ziara yake ya kuenda nchini Marekani wiki ijayo kukutana na rais Donald Trump.

Hatua hii inakuja siku moja baada ya bwana Trump kutangaza mpango wake wa kujenga ukuta kwenye mpaka kati ya Mexico na Marekani.

Trump pia alisisitiza kuwa kuwa gharama ya ujenzi wa ukuta huo italipwa na Mexico ambayo tayari imepinga vikali.

Wabunge wa Senate wanasema kuwa bunge la Marekani litaendelea na mpango huo ambao ukadiriwa kuwa utagharimu dola bilioni 12.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.