Sababu ya kuondoka kimakundi ni kutokana na waandaaji wa mshindano haya ambao ni Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) pamoja na jiji la Arusha kubadilisha tarehe pamoja na taratibu za awali zilizokuwepo.
Awali walitutumia barua za mwaliko wa ushiriki zikionesha mashindano yataanza tarehe 01 Desemba 2016 huku wakiahidi kutoa chakula na malazi kwa timu zote huku timu zikitakiwa kujigharamia nauli ya kwenda na kutudikatika kituo mashindano.
Kutokana na mchanyiko huo wakubadili tarehe na pia kutuambia timu zijigharamie chakula na usafiri huku ikiwa imebaki siku moja, imesababisha baadhi ya wachezaji kutopata ruhusa kutoka kwa waajiri wao na pia sisi viongozi wa timu ya mkoa kuwa na changamoto ya kutafuta pesa kwa ajili ya chakula kitu ambacho kimetupa wakati mgumu.
Lakinipamojanachangamotohizo, timuimewezakusafirikwamakundina tuna imaniitaendakufanyavizurikwanikatikamashindanohayakamailivyokuwamwakajanatulipokuwawashindiwa pili nyumayatimuyamkoawa Mbeya yaliyofanyikaMkoani Dodoma. Wachezajiwalioondokaleoni Vincent Shinda (Nahodhamsaidizi), Ahmed Mbega, John sapaPastory, FredyLuyenze, MponjoliBasalilena Mathias Ezekiel.HawawakiwanaKocha Paschal nkuba. Tunaotarajiwaondokekeshonipamojananahodha Amon DibaSembelya, Shomari Almas (ambaye pia nikaimukatibumkuuwa MRBA), ChachaMukoloTubert, RamadhaniNuru, Soti Peter na Peter Magere.
Baadhiyaviongozitutaungananatimukwanitumebakihapamkoanimwanzatukitafutapesakwaajiliyamahitajiyatimu. TunatarajikuonananaMkuuwaMkoawaMwanzaMh. John MongelailiawezekutusaidiakupatapesakwawadaumbalimbaliwamkoawaMwanza, kwanimpakasasatunaitajiangalaushilingimilionitanoilitimuiwezekushirikivizuri.
Pia hatunabudikuwashukuru Basketball Veterans Family wakiongozwanaMh. Dkt . Angeline Mabula (NaibuWaziriwaArdhi), Mussa K. Mziya (Raiswazamaniwa TBF), John Walter Kabuzi (Mkurugenziwa Blue Chip Incorparation) nawenginekwawamewezakuchangiakiasiambachompakasasatimuimewezakuelekea Arusha, lakini pia Kampuniya MOIL kupitiakwamkurugenzi wake NdgAltafHiranMansoorkwakuchangiamafutaambayotumewezakuwekakatikamagariyanayobebawachezaji.
Imetolewana: KizitoSoshonBahati KochaMsaidizi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.