ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, December 7, 2016

OLE SENDEKA 'AULA' UKUU WA MKOA WA NJOMBE.

Rais Dkt John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Ole Sendeka kuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe ambapo hapo awali alikuwa msemaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.