ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 19, 2016

NI USIKU WA GEORGE NA MKEWE VICTORIA MOLLEL BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA

Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha
Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutherani  ibada hiyo ya ndoa iliyoongozwa na Mchungaji Godliste  Nkya


Maharusi  katika Picha ya familia ya pande zote mblili
 Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja.
  Victoria Mollel akipunga mkono akiondoka Kanisani baada ya kufunga pingu za Maisha na mpendwa mume wake, George Raphael nakuelekea kupiga picha katika eneo la Chuo Cha Sheria Sinza Jijini Dar es Salaam, ambapo Sherehe ilifanyika katika Ukukumbi uliopo hapo hapo katika Chuo hicho.
 Maharusi katika pozi wakisaidiwa na wapambe wao kwa kushika shera ya biharusi.
Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia ya pande mbili, kushoto ni mama Mzazi wa Biharusi Victoria Mollel , Julieth Mollel.
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha.









(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa kampuni ya KM Express Photo Studio na Mmiliki wa ujijirahaa blog.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.