ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 19, 2016

IJUMAA KUU MWANZA TUNATAFAKARI NA BURUDANI LEVEL HIZI....

TUNASEMA HIVIII KIKITOKA KITU KINAINGIA KITU SERIES YA JEMBEDJz inaendelea ni Baada ya Black on Black party Sasa JembeDjz wanakuja na Hii TRAFIC LIGHTS PARTY Ni Ijumaa hii ndani ya CLUB ROCKBOTTOM

....Mlangoni Unaacha Buku 10 aka Tsh 10,000/= ndani unakutana na Crew nzima ya JembeDjz kutoka 93.7 Jembe FM wakikupa Burudani ya aina yake .....

Don't miss Trafic Lights this Friday Over!!!!!! @mbabvc @jembenijembe @jembefm @djmike_beatz_ @gsengo @bonzbalaa @nattyebrandy @mansourjumanne

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.