ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 1, 2016

YALIYOJIRI LEO BUNGENI.


Jibu la Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu  Dkt.Abdallah Possi akifafanua kuhusu  umuhimu wa elimu kwa watu wenye ulemavu wa ngozi. 


Je,ni lini serikali itaanza kutekeleza ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji? Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Antony Mavunde anatoa ufafanuzi hapa.


Mbunge Mbowe aibana serikali kuhusu kutekeleza ahadi milioni 50 kwa kila kijiji kama serikali ya awamu ya tano ilivyoahidi.


Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu mkakati wake wa kupambana na ugonjwa wa UKIMWI ikiwa shirika la afya duniani litasitisha misaada yake.


SIMU.tv: Serikali yatoalea ufafanuzi kuhusu mpango wa kuingia makubaliano na taasisi binafsi kununua vifaa tiba kwa ajili ya vituo vya afya nchini.
 Naibu waziri Selemani Jafo akitoa ufafanuzi wa swali la Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko  kuhusu huduma ya maji safi jimboni kwake.
  Serikali yatolea ufafanuzi kuhusu suala la watumishi hewa na hatua ilizozichukua kwa watu walihusika kuibia serikali kupitia njia hii.  Haya hapa ni majibu ya serikali kuhusu suala la mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini na vigezo vilivyotumika kutoa mikopo.  Serikali inampango gani na kupeleka huduma za mawasiliano kwa baadhi ya vijiji vya wilaya ya Liwale? Haya hapa ni majibu ya serikali.
Je,serikali ina mpango gani wa kusambaza maji mkoani Geita? Naibu waziri Selemani  Jafo anajibu swali la Mbunge Peneza. 
Je, serikali inampango gani wa kupunguza gharama za upimaji ardhi? Naibu waziri Angela Mabula atoa ufafanuzi hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.