ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 21, 2016

TIMU YA WASICHANA MWANZA 'MARSH QUEENS ACADEMY' YAJIZATITI ZAIDI.

...Katibu Mkuu wa NDFA Gilbert Daddy akizungumza na wachezaji wa timu ya wasichana ya Marsh Queens Academy baada ya kuwasili ikitokea Dodoma katika muendelezo wa ligi inayoendelea..... Usiku huu na kila siku saa 21:00 - 22:00 kasoro siku ya ijumaa ambapo #SPORTSRIPOTI huruka saa 20:00 - 21:00 Timbwirika na #SPORTSRIPOTI ya JEMBE FM 93.7 Mwanza ukiwa na @elikanamathias Mwalimu 

 Ahmad Ally ni Head Coach wa Marsh Academy hapa anatoa tathimini ya mchezo dhidi ya Baobao ya Dodoma ambapo timu hiyo ilipata ushindi wa 1-3 ugenini.
Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.