ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 8, 2016

TANZIA: WAZIRI WA ZAMANI WIZARA YA ELIMU JOSEPH MUNGAI HATUNAYE:-

Aliyewahi kuwa Waziri mwandamizi katika wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya Elimu, Ndg. Joseph Mungai, amefariki dunia jioni ya leo, katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu.
Mungu ampumzishe kwa amani.!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.