ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 2, 2016

MEYA WA JIJI LA WURZBURG ATUA MWANZA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA USHIRIKIANO WA KIMAENDELEO KATI YA MAJIJI HAYO DADA.

 Muonekano wa Ofisi za Halmashauri ya Jiji La Mwanza kama sehemu ya makaribisho ya ujio wa Meya wa Jiji la Wurzburg  Mhe. Christian Schuchardt. Haya ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg.

Meya wa Jiji la Wurzburg  Mhe. Christian Schuchardt. (katikati) akimkabidhi zawadi Mstahiki meya Msaidizi
 wa Jiji la Mwanza Bhiku Kotecha (kulia) katika ufunguzi wa mkutano wa ufafanuzi wa miradi inayotekelezwa na Ujerumani. Haya ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg.

Zawadi nyingine.

Mkutanoni wadau wa jiji la Wurzburg na Mwanza, Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg.

Meya wa Jiji la Wurzburg  Mhe. Christian Schuchardt akitoa shukurani kwenye ufunguzi wa mkutano wa ufafanuzi wa miradi inayotekelezwa na Ujerumani. Haya ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg.

Afisa uhusiano wa Jiji la Mwanza Dr. Kaaya akimtambulisha Meya msaidizi wa Jiji la Mwanza  Bhiku Kotecha  katika ufunguzi wa mkutano wa ufafanuzi wa miradi inayotekelezwa na Ujerumani. Haya ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya ushirikiano wa Majiji Dada kati ya Jiji la Mwanza na Wurzburg.

Maelezo na ufafanuzi juu ya kinachoendelea kwenye mradi.

Utambulisho.

Wadau wa Mwanza.

Shukurani.

Uchumi wa Jiji la Mwanza umetoka katika kutegemea Uvuvi ambao umeathiriwa na uvuvi haramu ambao umesababisha uhaba wa samaki wenye viwango na sasa unategemea biashara rasmi na zisizo rasmi.

Meza kuu.

Jiografia ya kusanyiko.

Kina zaidi.

Mazungumzo.

Afisa uhusiano wa Jiji la Mwanza Dr. Kaaya

Meya Msaidizi wa jiji la Mwanza Mhe. Bhiku Kotecha.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio huo.

Wataalamu wa majiji dada wakijadili mengineyo kwa kina.

50 years.

Picha ya pamoja.

Miaka 50 ya Undugu Wuzburg jiji la Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.