ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 7, 2016

MAKABURI 7 MAGUMU KWA JPM KUYAFUKUA, 14 WAMFUATA MPEMBA SELO, WALIOKULA FEDHA ZA MIKOPO KITANZINI, TB JOSHUA AMTABILIA USHINDI CLINTON.


Makaburi 7 magumu kwa JPM kuyafukua, 14 wamfuata Mpemba selo, Waliokula fedha za mikopo kitanzini, TB Joshua amtabiria ushindi Clinton. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti ya leo hapa; 


Kitanzi kipya watumishi wa umma, Wabunge kuamua mkataba wa EPA, JPM amtesa Tundu Lissu, Jangili amponza DCI, Magufuli aanika uozo CCM. 

TAKUKURU yachunguza Sh. 10 milioni za wabunge CCM, Dk. Shein: ICC haina ubavu kuhoji uchaguzi Zanzibar, Muswada wa habari waliza wengi. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.