ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 6, 2016

HII NDIO SABABU YA KUUAWA KWA BONDIA THOMAS MASHALI

Sababu na kisa mpaka kuuawa Kwa Mwanamasumbwi Thomas Mashali zimeanza kuanikwa wazi kutoka kwa watu waliokuwaeneo ambalo Bondia huyo anadaiwa kuuliwa. Hata hivyo taarifa za kina zitabainishwa zaidi baada ya Uchunguzi wa Jeshi la polisi kuhusu kifo hicho.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.