ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 16, 2016

HAWA NDIYO WATUHUMIWA SHOW YA MCHANA JEMBE FM.

Kutoka kushoto ni @NattyEbrandy @Deejay_Jacko na @Babajuti 
Ndiyo wadau wako kipindi cha Hit Zone ya Jembe Fm kila siku za juma Jumatatu hadi Ijumaa saa 7 kamili mchana hadi saa 10 jioni.
Ma-Prizenta wako = @NattyEbrandy na @Babajuti 
Ni vichaa wako wenye akili zao show ya mchana @NattyEbrandy (L) @Deejay_Jacko (C) na @Babajuti (R)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.