ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 14, 2016

AKINAMAMA MWANZA KUPIMA BURE KANSA YA MATITI

TANGAZO.

NANI KAMA MAMA??
 


CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA (MEWATA) KWA KUSHIRIKIANA NA BRISTOL MYERS SQUIBB FOUNDATION (BMSF), WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, NA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA

KITAFANYA ZOEZI LA UCHUNGUZI WA AWALI WA SARATANI YA MATITI NA MABADILIKO YA AWALI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI, KATIKA  MKOA WA MWANZA.

UFUNGUZI RASMI UTAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA FURAHISHA SIKU YA JUMANNE TAREHE 15 NOVEMBA 2016. MGENI RASMI KATIKA ZOEZI HILI NI MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN.

HUDUMA ZITAFANYIKA KAMA IFUATAVYO;  

  • WILAYA YA ILEMELA VIWANJA VYA FURAHISHA NA KITUO CHA AFYA KARUME TAREHE 15 NA 16 NOVEMBA 2016
  • WILAYA YA NYAMAGANA KITUO CHA AFYA MAKONGORO NA KITUO CHA AFYA CHA IGOMA
HUDUMA ZOTE ZITAANZA KUANZIA SAA MOJA KAMILI ASUBUH
       
               HUDUMA HII MUHIMU ITAKAYOTOLEWA BURE.


                                              “NANI KAMA MAMA”

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.