ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 5, 2016

RAYMOND KUTUA MWANZA JUMAMOSI HII KWAAJILI YA DEBE NA JEMBE KISHA WCB CELEBRITY PARTY LITAKALOPIGWA VILLA PARK RESORT.

Eh banaeEeeh mziki wenyewe si-ndiyo huu.....Kama vile naimba "☀.....Nkwankwarukwa kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka..!!! Jumamosi hii Wasafi wanadondoka jijini Mwanza kupiga Party lao. 


Ni #DebeNAjembe#WCB_PARTy 8/10/2016 Villa Park Resort Rock City kimenuwise @rayvanny + @wcb_wasafi & + UTAMBULISHO WA #jembedjZ ðŸ’¯ðŸ’¯ðŸ’¯ðŸ”¥ Tupia ile kinowmerNowmer kwani kutakuwa na Red Carpet la WCB pale langoni. Mwambie rafiki awaambie marafiki kwamba#VyumaVimekaza Usisahau unyunyu CC:- @wcb_wasafi @jembenijembe @wemasepetu @rick_juniour @bobwhite_pamba @mkuryamstarabu @gijegije @rama.maganga BILA KUSAHAU MAPISHI YA SAMAKI AINA ZOTE TOKA ZIWA VICTORIA ðŸ’¯


Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome ( Traditional Official Music video)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.