ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 25, 2016

UNAJUA UNAWEZA KUHITIMU KATIKA FANI UIPENDAYO?

Unajua unaweza kuhitimu katika fani uipendayo na kupata cheti cha VETA ukiwa na application ya VSOMO iliyoanzishwa na mradi wa VETA unaodhaminiwa na Airtel? Angalia Video hapo chini na kuona jinsi   bw. Elinazi Jonasi alivyoweza kujiongeza kupitia application hiyo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.