ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 23, 2016

MSHIRIKI LISA MDOLO KUTOKA SINGIDA AIBUKA KINARA WA TANZANIA MISS TALENT 2016 ILIYOFANYIKA JEMBE BEACH MWANZA

Miss Talent 2016 ambaye ni Mshiriki wa Miss Tanzania 2016 namba 20,Lisa Mdolo kutoka Singida (Kanda ya Kati) alishika nafasi ya Kwanza katika mpambano wa Kusaka Vipaji kwa washiriki wa Miss Tanzania 2016 uliofanyikaJembeBeach jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mshindi huyo wa Miss Talent 2016 amecheza ngoma ya asili na kuzikonga vilivyo nyoyo za wahudhuriaji.
Mchuano ulikuwa mkali sana.
Kila mshiriki alionesha kipaji chake.
Mavazi na ubunifu pia ilikuwa sehemu ya kushindana katika vipaji.
Mrembo huyu alionesha ufundi wa kuicheza twist.
Hapa napo sanaa ilihusika.
Mshiriki kutoka mkoa wa Geita ambaye pia ni Miss lake Zone Illuminata Dominic akionesha ufundi wa kutengeneza mavazi kwa kutumia vipande vya nguo.
Muziki wa Ki-hindi fundi wake huyu hapa.
Ma-sauti....
Mamiss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 ndani ya Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza.
Washiriki wa Miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 jijini Mwanza.
Washiriki wa shindano la miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza.
Washiriki wa shindano la miss Tanzania 2016 wakionesha Vipaji vyao wakicheza katika hafla ya Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza.
Majaji wa usiku wa shindano la Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza.
Wadau ndani ya eneo la tukio kinyang'anyiro cha shindano la Kutafuta Miss Talent 2016 lililofanyika Jembe Beach Resort jijini Mwanza.
MapozZ....
Marafiki Vyuma vimekaza nao walikuwepo tukioni.
Debe na Jembe.
Mmoja kati ya warembo walioonesha vipaji naye alikuja na uigizaji
Mashost na matukioz kwenye upaparazeZ.
Majaji wakimakinika.
Top 5
Top 5 Miss Talent 2016 wakiwa wamepozi mara baada ya kushinda nafasi tano Bora ya Miss Talent 2016.
M-shindi ni...
Mshindi wacha amwage mbungi..
Wastaarabu wa Mwanza na engo zao.
Jiografia ilikuwa hivi.
Wadau na meza zao.
Wastarabu wa Mwanza.
Marafiki wa Jembe Family.
Oyooooooo.....!!!
Classic party with Classic people.....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.