ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 17, 2016

MISS TANZANIA 2016 WAINGIA MWANZA KWA KISHINDO....

Tayari warembo 30 wa kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Tanzania 2016  wameingia jijini Mwanza na hapa ni katika mapokezi nje kidogo ya mji eneo la Buhongwa.
Msafara wa mapokei kutinga katikati ya jiji.


Msafara ukielekea sehemu ya mapumziko.
Mbele bodaboda wa Mwanza waliungana nasi kwa mapokezi hayo.
Kutoka Barmedaz Tv wanahabari kikazi zaidi.
Wanyange wa Miss Tanzania katika mtoko mpya tayari kwa hatua nyingine.
Nyuso za furaha.
Ni nani kati ya hawa jibu kupatikana tarehe 29 October 2016 eneo la tukio Rock City Mall Mwanza.
Nyuso za ushindi...
Ni ushindani tu.
Katikati ya jiji kiashiria cha Mwanza Samaki Round about.
Yep.
Thelathini ndiyo hawa.
Imepewa nguvu na JembeNIjembe.
Team.
Engo.
Pozi flani.
Warembo Miss Tanzania.
The angle......Miss Tanzania Karibu Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.